The Extent You Know The Truth, The Extent You will Enjoy Salvation

Tuesday, March 15, 2011

"Mtu Wa Nne" ya Revival Choir Kuzinduliwa Machi 27, 2011

Tarehe 27 March, 2010 itakuwa ni Uzinduzi wa albam Ya "Mtu wa Nne" ya Revival Choir ya Kinondoni ambayo Jumapili ya wiki Hii walipata Tuzo kwa kuwa Kwaya Bora.

Hawa jamaa wameanza huduma tangu niko "Kidunchu" mpaka leo wapo kwenye huduma.....This is a great achievement..Let My heaven father bless them.

Dont Plan To Miss, Papaa Ze Blogger kama kawa ntawaletea taarifa za Matukio.

Post a Comment

Recent Posts

Google+ Followers

Blog Archive