The Extent You Know The Truth, The Extent You will Enjoy Salvation

Wednesday, December 7, 2011

``PICHA ZA HARUSI YA SOLOLIST WA AMBASSADORS OF CHRIST-RWANDA ALIPOFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI``


UMURISA NA MUMEWE
 Umurisa ndio jina lake mwanadada anayewasisimua wengi nchini Tanzania kwa uimbaji wake mzuri katika album ya KWETU PAZURI(IWACUEZA) akiimbisha wimbo huo, ni kwamba hivi karibuni alifunga pingu za maisha na mpenzi wake wa maisha Habimana huko nchini Rwanda, fuatilia picha za harusi hiyo pamoja na pre wedding mambo yalivyokuwa

WAOW HAKIKA WALIPENDEZA

FURAHA ILIYOJE JAMANI

 Kutokana na tukio hili la Harusi Yvonne hakuweza kuhudhuria mazoezi ya recording ya kwaya yake ya Ambassadors kwani wakati wenzie wanarekodi toleo la nne dvd yeye alikuwa busy na maandalizi ya harusi yake ndio maana kwa wale ambao wamepata nakala ya toleo jipya la Ambassadors wamekuwa na maswali mengi huyu dada yuko wapi au naye alifariki katika ile ajali ya basi iliyowapata wanakwaya hao, la hasha yeye ni mzima kabisa ingawa pia alikuwemo katika msafara uliopata ajali

DA! ALIPENDEZA HAKIKA ALIKUWA TAUSI

BAADA YA IBADA YA HARUSI UMURISA MUMEWE WAKIPIGA PICHA NA BAADHI YA WAIMBAJI WA AMBASSADORSUMURISA NA MUMEWE WAKING'ARI NG'ARI SIKU YA PRE WEDDING YAO

NI VIAPO JAMANII

VIAPO TU


MAMA NA NDUGU WA KARIBU WA UMURISA PICHA YA PAMOJA

AMBASSADORS  OF CHRIST WAKIIMBA KWENYE SEND OFF PARTY

NIMEKUBALI MWENYEWE NA NDIO NAACHIA WINO HAPA


AMBASSADORS WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA SIKU YA SEND OFF PARTY

OOH MY DAUGHTER CONGRATULATIONS  KELLY WITH UMURISA WANAITANA  MAMA NA MWANA, PIA KUNA HABARI KWAMBA KELLY NAYE KAVISHWA PETE YA UCHUMBA HIVI MAJUZI

MAMBO YA KEKI,
Ndoa ya YVONNE Ilifanyika 4 august 2011 huko Kigali jijini Rwanda,Gospel Kitaa inawatakia maisha mema yenye furaha MR & MRS HABIMANA!

Source Gospel Kitaa Ya Ambwene.
Post a Comment

Popular Posts

Blogger templates

Categories

Blog Archive

Google+ Followers

Subscribe Here

Popular Posts