The Extent You Know The Truth, The Extent You will Enjoy Salvation

Tuesday, May 15, 2012

NAFASI 200 ZA KAZI KWA VIJANA.
Shalom Broz Productions ikishirikiana na Makampuni matatu ya Energy Master, Age Parfect 

na Challenger yanakuletea nafasi za kazi kwa vijana wasio na ajira au wanaotaka ajira za ziada

(Part time job). Semina ya mafunzo ya kazi hii itatolewa Pale Alharamain Sekondari Kariakoo.

inatazamana na Benjamen Mkapa Sekondari na Shule ya Uhuru. Saa mbili asubuhi siku ya

Jumamosi ya tarehe 19/05/2012.

Anayependa kupata Fursa hii afike katika semina hii fika saa mbili asubuhi ukiwa na vitu vifuatavvyo bila kukosa.

1. Barua kutoka Serikali za Mitaa, inayoonesha kuwa wewe ni mkaazi wa eneo hilo


2. Kadi ya kupigia kura.


Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 28 wanahitajika zaidi.

Hakuna kiingilio.

Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tafadhali piga namba zifuatazo

0718 817706 au 0784494906 Eneza


na 0713 977277 Tawale

Post a Comment

Recent Posts

Google+ Followers

Blog Archive