The Extent You Know The Truth, The Extent You will Enjoy Salvation

Monday, May 20, 2013

Askofu Dr. Moses Kulola Alazwa Hospitali Ya Bugando

Tukiwa kama Mwili Wa Kristo tunayo haja ya Kuunganisha Imani Zetu na  popote ulipo kumbuka kumuweka katika maombi Askofu Mkuu wa kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (E.A.G.T) Dkt. Moses Kulola ambaye amelazwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza akipatiwa matibabu ya kiafya

Askofu Kulola na mmoja wa wajukuu zake akiwa hospitalini kwa matibabu.

Picha kwa hisani ya Flora Mbasha habari kwa Hisani Ya Gospel Kitaa
Post a Comment

Recent Posts

Google+ Followers

Blog Archive